OMBEA KANISA LA TANZANIA
Wednesday, July 2, 2014
MAOMBI YA MWEZI WA SABA (JULAI 2014)
Katika mwezi julai ni vema tukakumbuka kuombea:
1. Injili vijijini
2. Kataa roho ya uzinzi kwa watumishiwa Mungu
3. Kuomba umoja kati ya wana wa Mungu.
Ubarikiwe ndugu.
Wednesday, April 17, 2013
MWEZI APRILI
MATHAYO 7:7
Tukumbuke kuombea
1. Wakristo waliookoka wawe na umoja
2. Wachungaji na maaskofu wawe na macho ya rohoni
3. Uvivu wa kushuhudia mitaani tuukemee. Watu wawe washuhudiaji.
4. Tuombee wanafunzi waliookoka mashuleni.

Friday, February 1, 2013
FEBRUARI/FEBRUARY 2013 SCHEDULE
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
|
1
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
Pray
for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which are taking
place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered/
Ombea
amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vinavyoendelea huko Dodoma.
Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele.
|
|
2
|
SATURDAY/
JUMAMOSI

3
|
SUNDAY/
JUMAPILI

Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya
bunge vinavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe
kipaumbele.
|
|
4
|
MONDAY/
JUMATATU

5
|
TUESDAY/
JUMANNE

6
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray
for peace. We should pray that the nation should not be led under the
influence of darkness powers and freemasonry/
Omba
amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo,
mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
|
7
|
THURSDAY/
ALHAMISI

8

9

10

11

Friday, January 4, 2013
HERI YA MWAKA MPYA
Tunamshukuru Mungu kwakutupa nafasi nyingine tena kikanisa. Katika mwezi wa january 2013 tukumbuke kuombea yafuatayo
Mathayo 7:7 1 1 Wathesalonike 5:17
1. Nguvu ya Roho Mtakatifu kanisani
2. Kukemea usingizi wa kiroho.
3. Kukemea vurugu na choko choko za kidini nchini ikiwa ni pamoja na kuchoma makanisa na kuua wakristo
4. Mipango ya siri ya kuchoma makanisa na kuua wakristo ijulikane kabla hawajatenda lolote baya na watiwe mbaroni.

Sunday, December 16, 2012
KARIBU TUOMBEE KANISA LA TANZANIA
Ombeni bila kukoma (1 Wathesalonike 5:17)
Kanisa la Tanzania linahitaji maombi yetu mimi na wewe na mwingine. Tunahitaji kuwa katika hali inayo mpendeza Mungu katika siku hizi za mwisho. Kama kanisa tusipojiombea shetani hata tuombea. Nakusihi tuendelee kuomba bila kujali uchovu au kukatishwa tamaa.
KATIKA MWEZI HUU WA 12, 2012 TUKUMBUKE KUOMBEA
Barikiwa

- Amani katika Tanzania.
- Kukemea Malumbano ya kidini nchini.
- Kukemea usingizi wa kiroho.
- Kuomba neema ya Mungu katika Taifa ili watu waokoke.
Barikiwa
Subscribe to:
Comments (Atom)