Wednesday, April 17, 2013

MWEZI APRILI

 MATHAYO 7:7

Tukumbuke kuombea

1. Wakristo waliookoka wawe na umoja

2.  Wachungaji na maaskofu wawe na macho ya rohoni

3. Uvivu wa kushuhudia mitaani tuukemee. Watu wawe washuhudiaji.

4.  Tuombee wanafunzi waliookoka mashuleni.

No comments:

Post a Comment