Kanisa la Tanzania linahitaji maombi yetu mimi na wewe na mwingine. Tunahitaji kuwa katika hali inayo mpendeza Mungu katika siku hizi za mwisho. Kama kanisa tusipojiombea shetani hata tuombea. Nakusihi tuendelee kuomba bila kujali uchovu au kukatishwa tamaa.
KATIKA MWEZI HUU WA 12, 2012 TUKUMBUKE KUOMBEA
- Amani katika Tanzania.
- Kukemea Malumbano ya kidini nchini.
- Kukemea usingizi wa kiroho.
- Kuomba neema ya Mungu katika Taifa ili watu waokoke.
Barikiwa
No comments:
Post a Comment