Tunamshukuru Mungu kwakutupa nafasi nyingine tena kikanisa. Katika mwezi wa january 2013 tukumbuke kuombea yafuatayo
Mathayo 7:7 1 1 Wathesalonike 5:17
1. Nguvu ya Roho Mtakatifu kanisani
2. Kukemea usingizi wa kiroho.
3. Kukemea vurugu na choko choko za kidini nchini ikiwa ni pamoja na kuchoma makanisa na kuua wakristo
4. Mipango ya siri ya kuchoma makanisa na kuua wakristo ijulikane kabla hawajatenda lolote baya na watiwe mbaroni.